Pre GE2025 Mbunge Samizi ahoji kuhusu fidia kwa wananchi wake na ujenzi wa Barabara ya Kibondo Townlink

Pre GE2025 Mbunge Samizi ahoji kuhusu fidia kwa wananchi wake na ujenzi wa Barabara ya Kibondo Townlink

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

BWANKU M BWANKU

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
377
Reaction score
435
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi Jana Jumanne Septemba 03, 2024 amesimama Bungeni Jijini Dodoma kuhoji Serikali kuhusu malipo ya fidia kwa wananchi wake wa Jimbo la Muhambwe pamoja na ujenzi wa barabara ya Kibondo Mjini ya Townlink.

Mbunge Samizi amehoji:

Fidia Kwa Wananchi waliopisha ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami Km 49 ya kibondo - Mabamba
Wananchi 724 wa kata ya Misezero, Bitale, Bunyambo na Mabamba

Ujenzi wa barabara ya Kibondi Town link Km 25 kwa kiwango cha lami ujenzi unasuasua mno mkandarasi ametoa machine site kwa madai hajalipwa pesa. Lini mkandarasi atalipwa ili aweze kuendelea na kazi?

Serikali kupitia kwa Waziri wa Ujenzi Mhe. Innocent Bashungwa imejibu maswali haya yenye matumaini makubwa kwa wananchi wa Muhambwe.

 
Back
Top Bottom