BWANKU M BWANKU
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 377
- 435
🗓️ 3 AUGUST 2024 🗒️
Dkt. Florence George Samizi, Mbunge wa Jimbo la Muhambwe Jana ametembelea GEREZA LA NYAMISIVYI {W} Kibondo, lengo ikiwa ni kuwaona wafungwa na kuwapa sabuni kwa ajili ya mahitaji yao pamoja na kukabidhi Simenti mifuko 100 alizoahidi ikiwa ni moja ya kuunga mkono juhudi za Rais Samia Saluhu Hassan, ambaye amekuwa akiwapa ushirikiano wa hali na Mali kuhakikisha Jeshi la MAGEREZA linakuwa na mazingira mazuri na kuimarisha mazingira ya wafungwa kwa ujumla.
Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
SP.JOHN BOSCO MAX NGEMA-kaimu Mkuu wa GEREZA KIBONDO, amemshukuru sana Mbunge kwa namna ya pekee ambavyo ameguswa kuwasaidia kuwapa Sabuni wafungwa pamoja na kutoa mifuko 100 ya Simenti kwa ajili ya kuboresha miundombinu chakavu katika GEREZA hilo,licha ya kumtaka Mh. Mbunge kurudi na kuishawishi serikali kuendelea kuboresha miundombinu kwa ajili ya Usalama nk.
IMETOLEWA Na;
OFISI YA MBUNGE
JIMBO LA MUHAMBWE
CHINI YA UAKIRISHI
WA
MWANAMKE IMARA TAIFA IMARA TWENDE NA MAMA 2025-2030