Mbunge Saputi: Ipo haja ya wataalamu wanaoandaa vigezo vya ajira kuangalia hali za Watanzania kwani kigezo hicho hakiko sawa

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Your browser is not able to display this video.
Mbunge wa jimbo la Arumeru Magharibi (CCM) Noah Lemburis Saputi amesema ipo haja ya wataalamu wanaoandaa vigezo vya ajira kuangalia hali za Watanzania kwani kigezo hicho hakiko sawa huku akitaka serikali kujiridhisha umri wa Mtanzania mwenye uhalali wa kuajiriwa.

Saputi ameyasema hayo Jumatatu Septemba 2, 2024 bungeni Jijini Dodoma wakati akichangia hoja ya dharula iliyoombwa na mbunge wa Viti Maalum (CCM), Ng’wasi Damasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…