Mbunge Sharobaro wa Kenya Aonyesha Simu yake yenye Umbo la Mwanamke aliyevaa bikini..!!

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Mbunge maarufu na mwenye vituko nchini Kenya maarufu kama SONKO ameonyesha picha za simu yake ya mezani yenye umbo la msichana aliyevaa bikini…Tazama hapa chini picha zaidi..



 
Huyu sonko japo anamihera ila ni mmoja ya watu washamba wanaoendelea kuishi! Hua natafakari maisha yake ya mwanzo ya naweza yakawa chanzo cha yeye kuendeleza usharobaro wake!! Kama alikulia maisha duni akaja kukuta pesa ukubwani au alikulia kwenye pesa ila alikua Hana Uhuru nazo!
 
Etii mipete vidolee vyotee mmmmh unyangemaa wakizamanii so uyo ndo mbungee etii wananchi wake kibongo bongo angeweza kujengaa hoja na kinatindu lisuu wakamuelewa kwelii??
aibu tu hii?
watajuaa wenyewe ukoo?
aagrrrrr.
 
Huyu ni viti maalum au kuna wehu wanampigia kura?
 
Hana tofauti na lusinde wa mtera uyu

Unamfahamu sonko?embu mgoogle kwanza
tafuta data zake

Huyu ni viti maalum au kuna wehu wanampigia kura?



Gidion Kioko Mbuvi almaarufu kwa jina la Mike Sonko (Sheng for "rich person") kupitia chama cha TNA ashinda kwa kishindo nafasi ya usenator wa County ya Nairobi kwa kupata kura 57% ya kura zilizopigwa.Katika awamu iliyopita Hon Sonko alikuwa ni Mbunge wa Jimbo la Makadara-Nairobi. Na mmoja ya wabunge waliosimama kidete kupigania maslahi ya vijana hasa wale wa hali ya chini katika maeneo yote ya viunga vya jiji la Nairobi. Hii ni inadhihirisha wazi imani kubwa waliyonayo vijana wote wa viunga vya Nairobi dhidi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…