Elections 2010 Mbunge Shindwa atoweka na Samani

Ngalaiyoki

Member
Joined
Aug 31, 2010
Posts
24
Reaction score
1
Kuna tetesi kuwa mbunge aliyeshindwa amehamisha samani pamoja na kitasa cha ofisi ya mbunge.
 
Thread kama hizi zisizokuwa na miguu wala kichwa kwa nini zinaachiwa kukaa hapa hadi sasa. Invisible I'm coming to get your chair, come on. Au siku hizi kuna server za ubwete....maana stori zingine ni kuongeza size ya files to be saved kwenye hizo server.
 
Kama alitumia akiba yake plus rasirimali zake kusaka ubunge akakosa unategemea atajipoza na nini. labda zake aliweka poni.
 
Huyo kweli mjinga alijua ccm itambeba sasa bana ari imkua ngumu
yeyeb arudishe hivyo vitasa na fntr asione aibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…