Pre GE2025 Mbunge Silanga: Nitatangaza kujiuzulu wakulima wakifikia uzalishaji wa kilo 1,500 kwa Hekari

Pre GE2025 Mbunge Silanga: Nitatangaza kujiuzulu wakulima wakifikia uzalishaji wa kilo 1,500 kwa Hekari

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Mbunge wa Jimbo la Itilima, Mkoani Simiyu, Njalu Silanga amesema kuwa serikali imefanya kazi kubwa ya kuboresha sekta ya kilimo, ambapo Wilaya hiyo imepokea matrekta 35 kwa ajili ya kulima mashamba ya wakulima wa pamba kwa bei nafuu.

Mbunge huyo aliongeza kuwa dhamira yake ni kuona kila mkulima wa pamba katika jimbo lake anazalisha kilo 1,500 kwa hekari moja kabla ya kuacha ubunge.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Soma Pia: Simiyu: Mbunge wa jimbo la Itilima Njalu Silanga achangiwa Milioni moja na laki tano kwa ajili ya fomu ya kugombea ubunge, fomu ishalipiwa


"Natamani kupokea simu moja nikitangaza kuacha ubunge, nikijua wakulima wote wanazalisha kilo 1,500 kwa hekari moja ili waweze kunufaika na kilimo cha zao hili.

 
Siku hizi amekuwa afisa kilimo?
Au anafikiri trekta pekee bila watalaam wazalendo kutakuwa na mabadiriko!
 
Back
Top Bottom