PreGE2025 Mbunge Sophia Mwakagenda aitema CHADEMA, Ajiunga rasmi na CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mbona mapema hivyo, hata bado mafao hayajatoka.

Hata hivyo sioni cha ajabu, maana walipo ni kinyume cha sheria.
 
Acheni kupotosha huyu alikwisha fukuzwa Chadema miaka mingi. Ubunge wake hivi sasa na wa Ndugai na CCM!
 
Chadema ipo na mbunge mmoja tu, yule wa nkasi ,uyu wa ccm
 
Mbona mapema hivyo, hata bado mafao hayajatoka.

Hata hivyo sioni cha ajabu, maana walipo ni kinyume cha sheria.
Ufisadi tu.
Wamelipwa bure bila kuw na chama na sasa wanahamia kwingine
 
sawa mpe maji sasa
 
Hakuna cha maaana, kwani alipokuwa upinzani, alileta manufaa gani? Chama kilimnufaisha zaidi kuliko manufaa aliyoleta chamani,as far as we are concerned, alikuwa anatikisa msambwanda tu bungeni,
 
Huyu anadanganywa na kibopa fulani wa CCM, Lahaulaah hajui mwenzie anataka kumsasambua na kum dump, hapati ubunge huyuu,
Thubutuuu. Lol
Wachaaa, huyu kibopa anayependa totoz siyo Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mbeya kweli?🤣🤣
 
Hana faida yoyote huyo ,na isitoshe CDM hajawahi kuwa na mbunge tangu 2020
 
Du...huko wanyaki wanaema...mbo mbo ngafu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…