Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mbeya (CCM), Mhe. Suma Ikenda Fyandamo amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Mbeya, akiendeleza dhamira yake ya kuwatetea na kuwaendeleza wanawake pamoja na wananchi wa mkoa wa Mbeya kwa ujumla.
Katika kipindi chake cha awali, amekuwa mstari wa mbele katika kusimamia haki za wanawake, kuwaunganisha na fursa mbalimbali za maendeleo, sambamba na kuchangia kwa kiasi kikubwa ustawi wa jamii kupitia mipango ya kijamii na kiuchumi.
-
WhatsApp Image 2025-06-30 at 20.03.51.jpeg
84.5 KB
· Views: 36
-
WhatsApp Image 2025-06-30 at 20.03.21.jpeg
91 KB
· Views: 41