Yule ni mmiliki wa shule , ana shule zake , ni mdau wa Elimu Sana , hii serikali ya kijiwe jiwe inawaza madege tuu.... Ndo mana tunatofautiana kwenye kifo cha Maghufuli , wengine wanaskitika wengine watafurah tuu
Kumbe ni mbunge wenu?Anamiliki shule nyingi na vituo vya mafuta kidogo leo kaongea
Kumbe ni mbunge wenu?
Hongera sana mjasiliamali.Nilimfahamu sana enzi nachukua mabondo visiwa vya sengerema na kupeleka kwa wachina Uganda, naona biashara yenyewe ya mabondo sijui ikoje siku hizi, kule nilienda kusaka maisha ndio nikamfahamu.
China, Korea Kaskazini na kusini kuna umri ambao kila mtu ni compulsory kwenda jeshi kwa mwaka mzima kisha wanarudi uraianiAsisahau pia vijana tunapewa mafunzo ya kijeshi JKT halafu tunarudi uraiani.
MmmghhhhMbunge wa Jimbo la Sengerema (CCM), Hamis Hussein Tabasamu, amesema licha ya uwepo wa upungufu wa walimu na waliosomea kuwepo mitaani, Serikali imekuwa haitoi Ajira...
Hongera sana mjasiliamali.
Kwani biashara imesimam?
Uchumi wa China na Korea unaulinganisha na wa Tz,sidhani kama unemployment rate ya China iko sawa na ya Tanzania.China, Korea Kaskazini na kusini kuna umri ambao kila mtu ni compulsory kwenda jeshi kwa mwaka mzima kisha wanarudi uraiani
Kwa kweli Ngeleja sijui aliwahi kulifanyia nini hilo jimbo.Tunamkumbusha barabara za mitaani sengerema hazitengenezwi. kwa miaka kadhaa sasa wengine wameamua kulima katikati ya barabara hizo hali inayo leta usumbufu unapo hitaji huduma ya gari hususani mitaa ya kilabela, ibisabageni na mnadani
Mbona toka akiwa CHADEMA alikuwa akifanya siasa za utetezi? ni muongeaji mzuri.Kidogo leo kaongea
Mh Rais SSH karuhusu ajira 6,000 za walimu. Labda kama ninaota mnisahahishe.