Rare Sapphire
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 590
- 1,648
Mbunge Hamis Tabasamu wa Sengerema, Mwanza amesema ni sawa kwa ng'ombe wakike kuvalishwa hereni ikiwa wanataka wapendeze kama binadamu, lakini suala hilo kwa ng'ombe wa wakiume haliwezekani kwani makabila yenye ng'ombe wengi kama Wamasai, Wakurya, Wasukuma hawakubali.
Akihojiwa na Mwandishi kuhusu kuhusanisha suala la hereni za ng'ombe na ushoga, Bw. Tabasamu alisema suala la ufugaji linaenda na imani na kwamba sio kila mtu anaweza kufuga bali ni makabila maalum, na makabila mengine wakifuga ng'ombe wanakufa.
Akisema kuwa suala hili ni gumu na wazee wetu wataona maajabu, ng'ombe watapungua, labda ng'ombe wa Pwani ndio wakavae hereni!
Akisema kuwa Serikali italeta vifaa vya utambuzi, kama serikali inaweza kutambua simba, nyumbu, au tembo waliopo porini, inaeweza kuleta idadi ya kuku, kondoo au mbuzi majumbani mwa watu haitashindwa kutambua mifugo majumbani mwa watu, ng'ombe watahesabiwa sababu kila mfugaji anajua idadi ya ng'ombe wake, akisema kuwa hawatakubali hadithi za upigaji kwa hereni hizo kuletwa.
Bwana Tabasamu aliyasema hayo akiohojiwa nje ya Bunge baada ya uwasilishwaji wa bajeti ya Wizara na Mifugo na Uvuvi.