Fuatilia picha yote ilivyokuwa hakuna jambo lililofichwasasa kuficha ficha ya nini hadi hali inakuwa tete mwishowe unakuja kuumbulika namna hii...
Wabongo bhana!
>>>Fuatilia picha yote ilivyokuwa hakuna jambo lililofichwa
Huyu waziri alisemekana kufichwa kwenye hospitali isiyo maalum kwa shughuli za Corona huku akiwaambukiza watu,,,
Kwahiyo hiyo ndo reference yako
endelea kumficha. unaruhusiwaKwahiyo hiyo ndo reference yako
Nimemficha ghettoni kwangu, njoo umuoneendelea kumficha. unaruhusiwa
nimekwambia uendelee kumficha sasa Kiswahili rahisi mbona huelewiNimemficha ghettoni kwangu, njoo umuone
Sio ndo nimekwambia uje umuone... Au kiswahili ni ngumunimekwambia uendelee kumficha sasa Kiswahili rahisi mbona huelewi
we ni mme au mke?Sio ndo nimekwambia uje umuone... Au kiswahili ni ngumu
Nikiwa Mme unakuwa mke,si ndo unachomaanisha hicho.π·π·we ni mme au mke?
jina langu linadhihirisha wazi kuwa mimi ni mume sasa wewe sijui vipi.Nikiwa Mme unakuwa mke,si ndo unachomaanisha hicho.π·π·
Mimi ndo natakiwa kuja huko kutafuta kunguru nikiunga juhudi za Mondi na Ben Pol.... ID si kitu ni maigizo tu... So if you're a kunguru,nishtue.Coz nasikia mnakuwa excited mnapoona mtz.jina langu linadhihirisha wazi kuwa mimi ni mume sasa wewe sijui vipi.
wewe sema kama ni mwanamke haraka haraka ili tuweze kuyajenga maana sio kwa kunilazimisha nije kwako.
ππππHaka kamjadala kenu nyie wawili kanachekesha, wacha tuone mwisho wake, kama mtaishia kejani sehemu maana mahoteli yamefungwa, gesti haziruhusiwi.
Pasco alishaleta uzi kuhusu huyo waziri toka last tumemjadili mpaka tumesahau, week wewe ndio unakurupuka leo... hovyo, alishajadiliwa mpaka na viongozi na hatua zilizochukuliwa mpaka kupelekwa karantini.
Je, ni kweli kuna Waziri anaugua Corona inafanywa Siri? Tunaficha nini? Hala hala kisa cha mficha maradhi! Truth & Transparency the only way out! - JamiiForums
Nyie pambaneni kivyenu na mtuache tupambane na yetu. COVID 19 haina chama wala passport