Mbunge Thea Ntara: Serikali ilipe madeni ya Wahadhiri wa Vyuo Vikuu

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
Your browser is not able to display this video.
Mbunge wa Viti Maalumu, Thea Medard Ntara amesisitiza Serikali kuwalipa Watumishi wa Vyuo Vikuu wakiwemo wahadhiri madeni yao mbalimbali wanayodai kwa kudai wengi wao wanafanya kazi katika mazingira magumu na hawajitokezi kugoma au kuonesha utovu wa nidhamu.

Ikumbukwe Januari 2025 kuna Mwanachama akiandika hoja akisema Chuo Kikuu Huria Tanzania lipeni Waajiriwa wenu pesa zao za kujikimu, mtawaua njaa na kuwafedhehesha mtaani

Mdau alielezea kwa urefu kuhusu Watumishi wa chuo hicho kufanya kazi wakiwa katika mazingira magumu ya kipato.

Pia soma ~ Madai ya Chuo Kikuu Huria (OUT) kutolipa Watumishi stahiki zao, Chuo chatoa ufafanuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…