KENPAULITE
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,511
- 3,313
Wewe ni CCM propaganda machine, watu wafe bora jina ya CCM isichafuke, CCM hoyeee, makaburini hoyeeeMange Kimambi.
The bitch named above lives in LA, USA.
Where does she get these videos and pictures which are not easily obtainable by ordinary Tanzanians who live there?
The fact, or a very simple exercise in logic is: the pictures and videos are inauthentic reason why neither reputable member of opposition parties can ever use his(her) account to post them.
You are doing what you do for entertainment purposes only.
unamtusi mange kimambi kwa kuwa anawaumbua nyinyi waimba mapambio! mbona usipinge madai yake na facts zako??
Wewe ni kuleta habari mbaya za TZ tu wakati kwenu kayole na kibera maiti kila siku zinaokotwa na haujawahi kuweka humu.Pia ashauri Tanzania ianze kutumia mfumo wa majimbo kama ilivyo Kenya, ili serikali kuu iache kuhusishwa na vimiradi vidogo vidogo kama vle barabara za vijijini.
Mbona wewe usiwekee basi hizo za kayole na kibera?Wewe ni kuleta habari mbaya za TZ tu wakati kwenu kayole na kibera maiti kila siku zinaokotwa na haujawahi kuweka humu.
Wewe ni kuleta habari mbaya za TZ tu wakati kwenu kayole na kibera maiti kila siku zinaokotwa na haujawahi kuweka humu.
Wewe ni CCM propaganda machine, watu wafe bora jina ya CCM isichafuke, CCM hoyeee, makaburini hoyeee
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi wewe mbona kila wakati kuanzisha thread kuhusu Tanzania tuuuu? Kwanini usihangaike na kunya country wananchi wake wanakufa kwa njaa? Naona wewe ni wale mlifurushwa kufanyakazi TZ kwa kunyimwa vibali ndiyo maana kila wakati akili yako ipo TZ!Pia ashauri Tanzania ianze kutumia mfumo wa majimbo kama ilivyo Kenya, ili serikali kuu iache kuhusishwa na vimiradi vidogo vidogo kama vle barabara za vijijini.
Hangaika na kunya country yako tumekuchoka. Huna kazi za kufanya huko kwenu?Weka hata picha moja ya maiti zikiokotwa Kenya kama inavyotendeka Tanzania, uone watu wakifutwa kazi moja kwa moja kwa jinsi tutapigia makelele. Sisi hatutumii mfumo wa ujamaa ambao hupunguzia watu uwezo wa kutumia akili zao.
CCM Hoyeee, propaganda machine weweA state of extreme stupidity is when: a logical consistency or absence of self-contradiction becomes a fact in the face of evidence(s) that suggest(s) otherwise.
Kenyans are stupid by choice -- choosing their corrupt and incompetent leaders under the influence of tribalism.
Hangaika na kunya country yako wewe nyang'au!
Wako wangapi???!!Wagonjwa wanaweza kuwa nao wengi wa kutangazwa ila kiuhalisia kwetu wapo wengi sana huku mitaani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo maiti ikiokotwa basi ni directly maiti ya corona???..utumiege kichwa kufikiri maiti huku bongo zimeanza kuokotwa kitambo tuWeka hata picha moja ya maiti zikiokotwa Kenya kama inavyotendeka Tanzania, uone watu wakifutwa kazi moja kwa moja kwa jinsi tutapigia makelele. Sisi hatutumii mfumo wa ujamaa ambao hupunguzia watu uwezo wa kutumia akili zao.
Hazinihusu mkuu maana hata nikiweka serikali ya TZ haiwezi kwenda kuokota hiyo miili.
Sawa mkuu!Weka hata picha moja ya maiti zikiokotwa Kenya kama inavyotendeka Tanzania, uone watu wakifutwa kazi moja kwa moja kwa jinsi tutapigia makelele. Sisi hatutumii mfumo wa ujamaa ambao hupunguzia watu uwezo wa kutumia akili zao.
Leta hizo video tuoneWewe ni kuleta habari mbaya za TZ tu wakati kwenu kayole na kibera maiti kila siku zinaokotwa na haujawahi kuweka humu.
Mbona wewe kucha kutwa kuishindia Tanzania utafikiri inakulipa?Jamaa una moyo, huwa mara moja moja napitia kule jukwaa lenu la siasa na matukio, huwa nakuona unavyomjibu kila mmoja na kumbishia kila mtu humo siku yote inaisha huchoki wala kupumzika, hehehe hongera sana maana ni kazi kweli kweli...
Amejuaje kama alikufa na korona ambayo lazima uwe mahututi kabla ya kufariki? Uzushi huo unachafua nchi yetu siyo rais tu.Pia ashauri Tanzania ianze kutumia mfumo wa majimbo kama ilivyo Kenya, ili serikali kuu iache kuhusishwa na vimiradi vidogo vidogo kama vle barabara za vijijini.
LOL walifutwa wangapi baada ya hii shuruba?Weka hata picha moja ya maiti zikiokotwa Kenya kama inavyotendeka Tanzania, uone watu wakifutwa kazi moja kwa moja kwa jinsi tutapigia makelele. Sisi hatutumii mfumo wa ujamaa ambao hupunguzia watu uwezo wa kutumia akili zao.