NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
wewe sikia nikwambie watanzania hawana mpango na mambo ya kenya ila nyinyi wakenya ndo mnakesha kufatilia mambo ya tanzania.
Na wewe ndio uko jf section ya kenyan news, whose following who?wewe sikia nikwambie watanzania hawana mpango na mambo ya kenya ila nyinyi wakenya ndo mnakesha kufatilia mambo ya tanzania.
wewe na MK254 hamlali kufatilia watz.
basi si tuwatolee mahali muolewe tanzania ili mzalishwe mtulie
Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya wagonjwa wafika 790 chini ya kapetiWeka hata picha moja ya maiti zikiokotwa Kenya kama inavyotendeka Tanzania, uone watu wakifutwa kazi moja kwa moja kwa jinsi tutapigia makelele. Sisi hatutumii mfumo wa ujamaa ambao hupunguzia watu uwezo wa kutumia akili zao.
Kenya wagonjwa wafika 790 chini ya kapeti
Send by APOLO 1
Hehehe haya yapo hata kwenu mzee....Halafu si matukio yote ni kirusi.Drone Camera mtajaza haya makaburi jameni...poleni sana kwa kweli, uuuuiiiiii Mungu wangu tusamehe waja wako, najua dunia tumeasi na tunatakiwa kuadhibiwa hata zaidi ya haya yanayotendeka, lakini neema zako Mungu turehemu, tuhurumie.
Jameni Kenya yetu haya yasitukute, rais wetu kuwa mkali usicheke na ngendere au kima, yeyote asiyetii kanuni elekezi afungwe jela.
Tufuate watu kitaani na kupima, pima pima mpaka mbwa na paka kitaani, toa habari, asifichwe hata mmoja.
Hao 790 ni waliogundulika na serikali yenu sasa amfichi VP?Hiyo 790 ni kidogo maana tunafahamu kirusi kipo mtaani tayari, ila cha msingi na muhimu ni kwamba hatufichi, tunajaribu kila tuwezavyo kupima hata 1,000 kwa siku na kutangaza kila anayegunduliwa kuwa nacho.
Kwa Tanzania mkulu alikaripia nyote mkakunja mkia na kupiga kimya, mpaka hata Makonda aliyekua anasema mnavyokuputik Dar, naona naye kapiga kimya cha kufa mtu.
Mumeishia kutupia video kisiri za maiti zikitolewa kwenye nyumba za watu, kwa mwendo huo mtajaza makaburi.
Evidence pleaseKenya wagonjwa wafika 790 chini ya kapeti
Send by APOLO 1
Pia ashauri Tanzania ianze kutumia mfumo wa majimbo kama ilivyo Kenya, ili serikali kuu iache kuhusishwa na vimiradi vidogo vidogo kama vle barabara za vijijini.
sasa kenyan news ndo mnakesha kutuandika vibaya na kutafuta changamoto za tz kutupaka matope wakati nyinyi mnashida na matatizo kibao?
Sisi tunatoa comments kwa yale mnaweka wenyewe kwenye mitandao, mkipandisha videos na mapicha dunia yote inakua huru kutolea neno.sasa kenyan news ndo mnakesha kutuandika vibaya na kutafuta changamoto za tz kutupaka matope wakati nyinyi mnashida na matatizo kibao?
Sent using Jamii Forums mobile app
uo ni umbea.wakenya wambea sanaSisi tunatoa comments kwa yale mnaweka wenyewe kwenye mitandao, mkipandisha videos na mapicha dunia yote inakua huru kutolea neno.
Drone Camera mtajaza haya makaburi jameni...poleni sana kwa kweli, uuuuiiiiii Mungu wangu tusamehe waja wako, najua dunia tumeasi na tunatakiwa kuadhibiwa hata zaidi ya haya yanayotendeka, lakini neema zako Mungu turehemu, tuhurumie.
Jameni Kenya yetu haya yasitukute, rais wetu kuwa mkali usicheke na ngendere au kima, yeyote asiyetii kanuni elekezi afungwe jela.
Tufuate watu kitaani na kupima, pima pima mpaka mbwa na paka kitaani, toa habari, asifichwe hata mmoja.
Hio isikutishe ngoja uone yenyu ikiwa free fall, very soonKenya hela Yenu inashuka tu.[emoji16][emoji16][emoji16].View attachment 1434351
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini unahisi ccm inawalipa, why should ccm be involved, sababu jubilee ishatuma watu wake ccm kuja kujifunza kurun chama.Unajua ni nyuzi ngapi zimefunguliwa na wenzako hapa kuzungumzia Kenya? Joto la jiwe na Geza Ulole wanazifungua kila siku ni kama wanalipwa na sisiemu