Pre GE2025 Mbunge Ummy Mwalimu achangia kiasi cha Tshs Milioni 10 kwa bodaboda wa Tanga Mjini ili "kutunisha" mfuko wao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wanabodi,

Wanasiasa wameanza rasmi masuala ya kuomba kura lakini this time wanafanya indirectly.

Ummy anajua nguvu ya bodaboda katika ushawishi kwa hiyo ameamua kuchagna karata zake vizuri.

================================================================

Mbunge wa Jimbo la Tanga Mhe Ummy Mwalimu amekutana na Maafisa Usafirishaji wa wilaya ya Tanga ambapo amewachangia kiasi cha Shilingi Million 10 kwa ajili kutunisha mfuko wa leseni za Bodaboda katika wilaya hiyo ikiwa ni Maombi ya Maafisa Usafirishaji hao kwa Mbunge wa Jimbo hilo

Amesema Rais Samia amefanya makubwa katika kila sekta ndani ya wilaya ya Tanga hususani Maboresho ya Bandari ambapo wageni kutoka ndani na nje ya nchi wamekuwa wakitumia usafiri wa Bodaboda katika shughuli mbalimbali

Soma pia: Tanga: Bodaboda wamchangia Rais Samia Tsh Milioni 1 kwa ajili ya kuchukua fomu

Amesema Fomu ya Urais mwaka 2025 itakuwa ni Moja kwa Dkt Samia Suluhu Hassan ili aendelee kuleta Maendeleo katika Wilaya ya Tanga na Taifa kwa ujumla

Pia Mbunge Mhe. Ummy amewawezesha Maafisa Usafirishaji wa wilaya ya Tanga Mafuta ya Lita 2 kwa kila mmoja kwa zaidi Maafisa Usafirishaji 500

Source: Wasafi FM
 
View attachment 3192633

Source: Wasafi FM
NHIF na MSD kutamu
 
Back
Top Bottom