Mbunge wa Jimbo la Tanga Mhe Ummy Mwalimu amekutana na Maafisa Usafirishaji wa wilaya ya Tanga ambapo amewachangia kiasi cha Shilingi Million 10 kwa ajili kutunisha mfuko wa leseni za Bodaboda katika wilaya hiyo ikiwa ni Maombi ya Maafisa Usafirishaji hao kwa Mbunge wa Jimbo hilo
Amesema Rais Samia amefanya makubwa katika kila sekta ndani ya wilaya ya Tanga hususani Maboresho ya Bandari ambapo wageni kutoka ndani na nje ya nchi wamekuwa wakitumia usafiri wa Bodaboda katika shughuli mbalimbali