Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
CCM muwe mnachagua watu wa kusemea mambo yenu.
Watu wa imani wakisema huu ni uchuro kwa Rais, mtakataa.
Yaani mnasifia hadi mnaboa.
==================================
Mbunge wa Jimbo la Buchosa Kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Eric Shigongo, jana katika mkutano wake na Wana habari alipokuwa akielezea masuala kadhaa ya Kitaifa, ikiwemo Utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo na hali ya Kisiasa hapa nchini.
"Watanzania mna Rais Bora. Ila shida yetu ni moja sisi. Tunasifiaga watu wakishakufa. Ndo changamoto tu. Yaani mtu akifa ndo utasikia mtu anasifiwa"
“Kama hatuisimamii Serikali vizuri, matokeo hayawezi kuwa mazuri, kwa hiyo sifa zote ambazo zinatolewa kwa Serikali ni matokeo ya Mhimili kuisimamia Serikali Vizuri, kwa Sababu Bunge linaongozwa na Spika ambae ni Mchapakazi Dkt Tulia Ackson”