Watu wa imani wakisema huu ni uchuro kwa Rais, mtakataa.
Yaani mnasifia hadi mnaboa.
==================================
Mbunge wa Jimbo la Buchosa Kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Eric Shigongo, jana katika mkutano wake na Wana habari alipokuwa akielezea masuala kadhaa ya Kitaifa, ikiwemo Utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo na hali ya Kisiasa hapa nchini.
"Watanzania mna Rais Bora. Ila shida yetu ni moja sisi. Tunasifiaga watu wakishakufa. Ndo changamoto tu. Yaani mtu akifa ndo utasikia mtu anasifiwa"
“Kama hatuisimamii Serikali vizuri, matokeo hayawezi kuwa mazuri, kwa hiyo sifa zote ambazo zinatolewa kwa Serikali ni matokeo ya Mhimili kuisimamia Serikali Vizuri, kwa Sababu Bunge linaongozwa na Spika ambae ni Mchapakazi Dkt Tulia Ackson”

Samia anafanya kazi kubwa sana adui yake ni jinsia yake kuwa ya kike, atafanya mazuri 9 na baya moja litashikiwa bango baya moja na hayo tisa yatasahaulika mapema.
Anajenga viwanja viwili kwa mpigo kule Arusha na Dodoma, sio kazi ndogo. Hapo hatujaongelea SGR na miradi mingine mingi inayofanyiwa kazi muda huu.