Mbunge wa jimbo la uchaguzi Bukoba Vijijini amesema CCM watapambana kuhakikisha kuwa hakuna atakayefurukuta kupenda kuleta serikali tatu. Serikali mbili zinaepusha vita kama izilivyo nchi nyingine.
Anaendelea kusema kuwa wabunge wa CCM watapambana bungeni na hakuna atakayeweza kukubali maoni ya Tume ya Warioba kuhusu serikali tatu.
Mkutano wa Kata Kishanje unafanyika Kaalilo Shule ya Msingi. Wananchi toka vijiji vitatu hawafiki mia na baadhi wamevaa njano na kijani.