Enzi na Enzi
JF-Expert Member
- May 29, 2020
- 888
- 821
Nyie wapiga kula wake mnyimeni kula October.Leo mbunge wa jimbo la Busega anayemaliza muda wake mh. Rafael Chegeni waombe radhi wapiga kura wako, Maana baada ya wewe kutaka Waziri Mkuu asijibu maswali ya papo kwa papo bungeni, ilibidi Spika akushangae kwanza na baadae kumtaka Mwakyembe atoe darasa kwako mbele ya bunge.
Baadaye Naibu Spika, Dkt. Tulia akahitimisha kukujibu kuwa hoja yako haina mashiko.
Umetuaibisha sana wapiga kura wako .
Nadhani hii ishara yawazi hata ndani ya CCM wamekuchoka.
Kuna nyepesi nyepesi kuwa dokta yake ni zile za kunanii, aliipata wakati ule zimevuma sana!huyu naye eti dokta