PreGE2025 Mbunge wa Busega Simon Lesengekile ataka Kariakoo Dabi ibadilishwe jina na kuitwa Samia Dabi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Huyu mpumbavu amshukuru magufuli kura za maoni alikuwa wa mwisho hapo busega..
Sasa hivi ajiandae kurudi Shirati Hospital Rorya alipokuwa mfanyakazi.
alikuwa mfanyakazi wa motually, sijui alipataje ubunge, anyway wale wazee wa busega wanasema walitundika makoti juu ya mti october wanayafuata
 
alikuwa mfanyakazi wa motually, sijui alipataje ubunge, anyway wale wazee wa busega wanasema walitundika makoti juu ya mti october wanayafuata
Hahaa kalikuwa kahasibu nilishawahi kukazaba makofi demu wangu akienda hospital anamsumbua nikamtight mitaa ya obwere.
Sasa hv akiniona anaweza fufua kesi
 
Tuna wabunge was..NG wanatia hasira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…