johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mbunge wa Kilwa amesema mkurugenzi wa halmashauri ya Kilwa anajifanya mungumtu na anawadharau viongozi wote wa wilaya hadi mkoa.
DED ametukana madiwani mbunge na mkuu wa mkoa tena anatamba kuwa yeye ni mteule wa Rais hivyo hawawezi kumfanya lolote kwahiyo mbunge huyo amemtaka waziri Ummy Mwalimu kumchukulia hatua kali kijana wske huyo.
Chanzo: ITV habari
Ramadha Kareem!