johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwahiyo unamuunga mkono mbunge?Mkuu wake wa wilaya ambaye ni ndubiyagai ni jamaa moja yuko poa Sana hana shida na mtu, ila mkurugenzi na das wake wana matatizo Sana nimefika ofisini kwao zaidi ya Mara 3Kilw
Kivipi bwashee?Mmmhh mbunge katia chumvi hapo.
Pamoja na ushahidi wa waliotukanwa wewe unaona ni majungu?!Haya yatakuwa majungu tu
Pamoja na ushahidi wa waliotukanwa wewe unaona ni majungu?!
DSO hajawahi kununuliwa na hatakuja kununuliwa popote ni mbinu za kazi tuHaiwezekani mtu mzima na akili zake timamu atukane wenzie hovyohovyo kama inavyosemwa bali lazima pana msuguano wa kimaslahi pahala fulani na ndipo zengwe linapoanzia....DSO atakuwa na habari kamili kama naye hajanunuliwa
Nguruwe wanakulana wenyewe kwa wenyeweMbunge wa Kilwa mh Sangu amesema mkurugenzi wa halmashauri ya Kilwa anajifanya mungumtu na anawadharau viongozi wote wa wilaya hadi mkoa
DED ametukana madiwani mbunge na mkuu wa mkoa tena anatamba kuwa yeye ni mteule wa Rais hivyo hawawezi kumfanya lolote kwahiyo mbunge huyo amemtaka waziri Ummy Mwalimu kumchukulia hatua kali kijana wske huyo
Source: ITV habari
Ramadha Kareem!
Halmashauri zinaendeshwa kwa majungu sanaKivipi bwashee?
Tena kama huyo wa kilwa kusini ndo kabisaaaa hakushinda hilo jimbo amshukuru DED........ Bora yule wa kaskazini ameshinda kihalali kabisaaaaDED ndio anajua siri ya ushindi wa mbunge!
Usikanie hao ma DSO kwenye baadhi ya halmashauri wanakuwaga na tabia za hovyo sanaa wanafanya kazi kwa majungu na umbeya wa hali ya juu.DSO hajawahi kununuliwa na hatakuja kununuliwa popote ni mbinu za kazi tu
Kimsingi MaDED ndio kwa jiihada zao wakishirikiana na NEC waliofanikisha kuwapa ubunge hao vilaza wasio stahiri. Sasa kama wanaleta mdomo mdomo mbele ya mabosi zao watakiona.Mbunge wa Kilwa mh Sangu amesema mkurugenzi wa halmashauri ya Kilwa anajifanya mungumtu na anawadharau viongozi wote wa wilaya hadi mkoa
DED ametukana madiwani mbunge na mkuu wa mkoa tena anatamba kuwa yeye ni mteule wa Rais hivyo hawawezi kumfanya lolote kwahiyo mbunge huyo amemtaka waziri Ummy Mwalimu kumchukulia hatua kali kijana wske huyo
Source: ITV habari
Ramadha Kareem!
Hao si ndio maharamia na waratibu wa wasiojulikana?Usikanie hao ma DSO kwenye baadhi ya halmashauri wanakuwaga na tabia za hovyo sanaa wanafanya kazi kwa majungu na umbeya wa hali ya juu.