Mbunge wa CCM adai DED wa Kilwa anajifanya mungu-mtu. Ametukana madiwani, Mbunge hadi RC na anawadharau sana

Akitukama mkuu wa mkoa, atawekwa rumande kiulaini kabisa!! LAbda awe Mkuu wa mkoa feki!
 
Yaan Sisi wananchi ndio tunawadharau sana kuliko huyo DED wenu.DED anajua ninyi sio wabunge halali ni wabunge wa kutangazwa kwa mtutu wa Bunduki. Hakuna Wakati taifa hili limenajisiwa kama awamu ya mzee wa Phd fake.
The man was really Idiot.
And even his death was caused by his idiot.
 
Uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 umeacha historian nchi hii. Mara walioiba kura kufa ,mara walioiba kura kudharau walioshinda kura. Ni vituko tupu
 
Mzee wa Phd fake, wabunge Fake, wateule wake Wakuu wa Mikoa vyeti fake, akina kigwangala fake......yaani awamu ya tano mavi matupu
 
Uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 umeacha historian nchi hii. Mara walioiba kura kufa ,mara walioiba kura kudharau walioshinda kura. Ni vituko tupu
Mapolisi ndio usiseme. Huku mtaani mara kapata ajali mara kapata stroku....yaami vurugu tupu. Corona ikawa inachagua tu.😅😅
 
Wapinzani wametuchelewesha sana. Sasa tupo wenyewe tunaimba LEGACY LEGACY LEGACY! kama hayawani????
 
Wapuuzi hawa wanageukana baada ya kuiba kura za wananchi
 
Awe na adhabu,Tena m
Zimshike asingekuwa mbunge bila DED kuiba kura.matokeo halali anayo DED.
 
Mtoa mada nikurekebishe, Kilwa tuna majimbo mawili, kusini na kaskazini.
Jimbo la kilwa kaskazini linaongozwa na Francis kumba ndulane, jimbo la kilwa kusini linaongozwa na Ally kasinge......... Sasa huyo mh. Sangu sijui ni wa wapi.
 
Hàaa kumbe ally kasinge ni mbunge???
 
Kwani hawawajui ni akina nani? na wanafanya kazi gani
 
Mbunge wa Kilwa mh Sangu amesema mkurugenzi wa halmashauri ya Kilwa anajifanya mungumtu na anawadharau viongozi wote wa wilaya hadi mkoa.
Duh, haki ya nani dish la johnthebaptist limecheza tena wacha tumpeleke Mirembe! Sangu mbunge wa Kilwa? Kazi kweli kweli! Tangu kifo cha Jiwe dish lake huyu jamaa halijakaa sawa tunapata taabu sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…