Mzee wa Code
Member
- Sep 23, 2024
- 61
- 91
Mbunge wa CCM, Zahor Mohamed Haji wa Mwera ameitahadharisha Serikali kuacha kuendelea kukopa kwa sababu kufanya hivyo sio Sifa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameongea vizuri ila hapo kwenye wataalam hapo! Wataalam watanzania ndio wanaoifanya hii nchi inazidi kuwa masikini na madeni! Wataalam jina utendaji sifuri!
Kukopa ni Umasikini angalieni Bukinafaso mwamba Cptn Traorre anapiga hatua sana sana ataipita TZ kama haijazaliwa jamaa ana vision kumwa sanaa nyie endeleeni kulumbana tu .I think baada S outh Africa itakuwa ya pili kwa maendeleo au itakuwa ya kwanza kwa Africa.Mbunge wa CCM, Zahor Mohamed Haji wa Mwera ameitahadharisha Serikali kuacha kuendelea kukopa kwa sababu kufanya hivyo sio Sifa.