Haa[emoji1][emoji28]
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Kasema Wazi Wazi Kuwa Jamaa Kashindwa Kuongoza Mkoa. Sasa Wewe Mwenyewe Unatupotosha Eti Kapelekwa Jirani
Acha Uongo
Siyo kwa madongo yale aliyoshushiwa pale Ikulu!Siasa haina rafiki wa kudumu,Ila ina maslahi ya kudumu.
Ni mkakati wa Ccm kumrudisha Dk. Kebwe jimbo LA Serengeti. Morogoro ilikuwa mbali kujijenga kwa wanachama,pia ile sera ya chama ya mtu mmoja cheo kimoja ingemkwaza
Mbunge wa chadema aliyeunga mkono nia na kuhamia Ccm, kalia viti vya bunge kwa mara ya mwisho, Ccm imeamua tayari!
Ccm inaandaa safu ya wabunge, Kidatta karudi japo alipigwa tuhuma nzito, tuhuma za morogoro hazimgusi,pia chaguzi kwa sasa wanaochagua ni serikali, wananchi wanaenda kuota jua tu na makaratasi yao ya kupigia kuraSiyo kwa madongo yale aliyoshushiwa pale Ikulu!
Huyo ni kinondoni! Temeke ni maulid mtuliaMwigine ni Abdallah Mtolea wa Temeke
Jamaa wa ufipa kwa udaku ndio wenyewe. Halafu eti wanajigongea "likes" kibao. Duh.Haa😄😅
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Kasema Wazi Wazi Kuwa Jamaa Kashindwa Kuongoza Mkoa. Sasa Wewe Mwenyewe Unatupotosha Eti Kapelekwa Jirani
Acha Uongo