Mbunge wa Chadema Kaishia Darasa la Saba-CV Hii hapa

Mhalisi-- Hebu niambie mtu anayekataa Gari kwa sababu limetumika ila akapewa jipya akapokea huu ndio uzalendo? Arudishe gari lile tena kwa Bwewe kama alivyofanya mwanzo

unatoka nje ya mada Jimy P, kumbuka unazungumzia mbunge mwenye elimu ya darasa la saba na sio Mbowe.
 
Atakuchukuwa hata wewe manake nafkiri wewe ni sawa na hao mademu uliowataja kwa umbea wako unajitahidi kutudanganya ili tugeukie upande wa mafsadi waliotumaliza. Ccm ni janga la kitaifa wandugu.
 
wacheni upimbi. kuna mtu anatoka darasa la saba anaenda chuo cha ualim monduli? tafuteni cv iliyo kamili muache ushabiki wa kupiga chabo mkeo
 
cdm ina wanachama wengi wenye taaluma zote kuanzia darasa la nne la zamani, darasa la saba, certificate, degree kibao, PhD original sio za kupewa mezani kama za ccm, maprofesa. ww nenda katika vyuo vikuu siku hizi wanamaliza karibu 40000 kwa mwaka, katika wanaomaliza elimu asilmia 97% ni wanachama wa cdm. hata hao ambao wana kadi za ccm ni geresha wakienda kwenye sanduku la kura wanachagua yule wanayempenda anaweza asiwe ccm. hawa ni sawa na swing states, wanafuata upepo
 
maana ya nguvu ya umma ni pamoja na kuwashirikisha watu wenye elimu ya chini katika uongozi wa nchi. hiyo ndiyo demokrasia ya kweli. sio wote wenye elimu wana uwezo wa kuongoza wengine ndio maana maprofesa wengi wakipewa kuongoza nchi huwa zinwashinda

Kuongoza/uongozi ni kipawa anachopewa mtu na Mungu kwa ajili ya kuwaongoza wengine, ndio maan utashangaa mtu ana elimu ndogo lkn ana uwezo mkubwa wa kuuliza logic qns na kutoa maelekezo kiusahihi na kwa njia inayoeleweka kwa kila mtu hata mwenye PhD

kwa mtizamo wangu huyu ni mwenye elimu kubwa kuliko la saba, kwani baada ya miaka 7, alienda kusomea ualime kwa miaka 4, kisha akaenda kusomea mafunzo menie ya cheti kwa muda wa kutosha. upeo wake ni mkubwa kuliko wabunge wengi wa ccm

kwa bahati mbaya ccm siku hizi mmefanya madaraka kuwa kitu cha kupokezana ktk familia, utawala wa demokrasia hauendi hivyo
 
Wait a minute... hivi kina Profesa Maji Marefu, Kina Lusinde na wengineo wanatoka wapi vile.... Kina Prof. Baregu, Prof. Kahigi, na wengine, CV ya Zitto na Mdee, Lissu, Nassari na Mnyika? Look... Wapo wengine wa CCM wamesema wamemaiza UDSM, lakini in fact hawajawahi hata soma hapo, na wala certificate hawana... nawafahamu binafsi! Nadhani Tatizo liko katika mfumo mzima, na wala haujalishi Chama. Leo hii Tanzania, almost any one can be anybody... hilo ni tatizo la nchi kwa ujumla.
 
umemaliza?mwambie aliekutuma wenyewe wamekuzomea!!!
 
Uwezo wa kuongoza na busara hauhitaji madarasa, in fact watu wengi tu hawahitaji madarasa kama ya kwako.
 
​naogopa burn
 
umesha tumika au ndo utatumika
ukitoka hpa lol! kazi njema katumike
salama ila usisahau kutumia co**om c
unajua magonjwa manake inabidi
tukukumbushe jwan had hapo tu
unaonesha huna lolote kichwan zaid ya kuwaza kutumika halafu uje opost
***** hapa
 
Mtu akikuchukulia mkeo utajisikiaje,,, Kweli nchi ishikiliwe na Mtu hata elimu hana ataweza kweli kusafiri kama Jk kukutana na akina Obama , Marais wenzake,, Chadema mmechemka katika hili[/QUOTE]
mmmh....
 
Mi nilimpa kura yangu Kasulumbayh awe mbunge kwa sababu ni mzoefu wa siasa toka 1993 alichaguliwa kuwa diwani,mpaka leo na ubunge tukamuongezea.

CCMabwepande walimteua m/kit(w), F4 failure asiye na uzoefu wowote,bado hajajitegemea analelewa kwao,mzee wa not na kadi za kufoji,kasulu na bunyongoli ungemchagua nani?

Maendeleo kata ya ipililo yanazidi kata zote.hongera kasulu hata ungekuwa hujui kusoma na kuandika ila c bubu bado ungekuwa,cdm longlive!ccm maswa sahauni mpaka mwisho wa dunia.
 
Mtoa mada naomba tuwekee CV ya Waziri katika Ofisi ya waziri Mkuu Ndugu Wiliam V. LUKUVI Mbunge wa ISMANI IRINGA.
 
[h=2]Member of Parliament CV[/h]
SalutationHonourable
First Name: Livingstone
Middle Name: Joseph
Last Name:Lusinde
Constituent: Mtera
Political Party: CCM
Office Location: Box 50, Dodoma
Office Phone: +255 755 453327/+255 785 679927
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: llusinde@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 4 March 1972

[TH="colspan: 3, align: left"] GENERAL [/TH]

[TD="width: 42%, align: center"] Member picture
[/TD]

[TD="width: 20%"] Member Type: [/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
Mbigili Primary School
CCM College Ihemi

[TH="colspan: 5, align: left"] EDUCATION [/TH]

[TH="width: 35%"] School Name/Location [/TH]
[TH="width: 27%"] Course/Degree/Award [/TH]
[TH="width: 15%, align: center"] Start Date [/TH]
[TH="width: 13%, align: center"] End Date [/TH]
[TH="width: 10%, align: center"] Level [/TH]

[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1980[/TD]
[TD="align: center"]1987[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]

[TD="align: center"]Certificate[/TD]
[TD="align: center"]2007[/TD]
[TD="align: center"]2008[/TD]
[TD="align: center"]CERTIFICATE[/TD]
Company Name
The Parliament of TanzaniaMember - Mtera Constituency

[TH="colspan: 4, align: left"] EMPLOYMENT HISTORY [/TH]

[TH="align: center"] Position [/TH]
[TH="align: center"] From Date [/TH]
[TH="align: center"] To Date [/TH]

[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"]2015[/TD]
Chama Cha Mapinduzi, CCMSecretary - Tarime District
Chama Cha Mapinduzi, CCMAssistant Secretary/Accountant
CHADEMAMember - National Executive Board
Civic United Front, CUFSecretary - Kawe Constituency
Chama Cha Mapinduzi, CCMSecretary

[TH="colspan: 4, align: left"] POLITICAL EXPERIENCE [/TH]

[TH="class: text_menu, width: 47%"]Ministry/Political Party/Location [/TH]
[TH="class: text_menu, width: 31%, align: center"]Position [/TH]
[TH="class: text_menu, width: 12%, align: center"]From[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 10%, align: center"]To[/TH]

[TD="align: center"]2006[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]

[TD="align: center"]2006[/TD]
[TD="align: center"]2007[/TD]

[TD="align: center"]1995[/TD]
[TD="align: center"][/TD]

[TD="align: center"]1992[/TD]
[TD="align: center"]1995[/TD]

[TD="align: center"][/TD]
 
Huyu CV yake ndio imeishia hapo.

Member of Parliament CV

SalutationHonourable
First Name: Catherine
Middle Name:V.
Last Name:Magige
Constituent:No Constituency
Political Party:CCM
Office Location:
Office Phone:
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail:
Member Status: Current Member
Date of Birth

[TH="colspan: 3, align: left"] GENERAL [/TH]

[TD="align: center"] Member picture
[/TD]

[TD="width: 20%"] Member Type: [/TD]
[TD="width: 38%"]Special Seat[/TD]
 
[h=2]Member of Parliament CV[/h]
SalutationHonourable
First Name: Stephen
Middle Name: Hilary
Last Name:Ngonyani
Constituent: Korogwe Vijijini
Political Party: CCM
Office Location: P.O. Box 60, Korogwe, Tanga
Office Phone: +255 784 459090/+255 712 006666
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: sngonyani@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 25 May 1956

[TH="colspan: 3, align: left"] GENERAL [/TH]

[TD="width: 42%, align: center"] Member picture
[/TD]

[TD="width: 20%"] Member Type: [/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
Kwamndolwa Primary School

[TH="colspan: 5, align: left"] EDUCATION [/TH]

[TH="width: 35%"] School Name/Location [/TH]
[TH="width: 27%"] Course/Degree/Award [/TH]
[TH="width: 15%, align: center"] Start Date [/TH]
[TH="width: 13%, align: center"] End Date [/TH]
[TH="width: 10%, align: center"] Level [/TH]

[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1970[/TD]
[TD="align: center"]1976[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]
Chama Cha Mapinduzi, CCMMember of NEC
Chama Cha Mapinduzi, CCM
Regional Economic Secretary
Chama Cha Mapinduzi, CCMEconomic Secretary, Korogwe rural

[TH="colspan: 4, align: left"] POLITICAL EXPERIENCE [/TH]

[TH="class: text_menu, width: 47%"]Ministry/Political Party/Location [/TH]
[TH="class: text_menu, width: 31%, align: center"]Position [/TH]
[TH="class: text_menu, width: 12%, align: center"]From[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 10%, align: center"]To[/TH]

[TD="align: center"]2008[/TD]
[TD="align: center"][/TD]

[TD="align: center"]2008[/TD]
[TD="align: center"][/TD]

[TD="align: center"] 2007
[/TD]
 
[h=2]Member of Parliament CV[/h]
SalutationHonourable
First Name: Deo
Middle Name: Kasenyenda
Last Name:Sanga
Constituent: Njombe Kaskazini
Political Party: CCM
Office Location: Box 190, Makambako, Iringa
Office Phone: +255 754 565678/+255 784 361523
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: dsanga@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 1 January 1956

[TH="colspan: 3, align: left"] GENERAL [/TH]

[TD="width: 42%, align: center"] Member picture
[/TD]

[TD="width: 20%"] Member Type: [/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
Ikwega Primary School, Mufindi

[TH="colspan: 5, align: left"] EDUCATION [/TH]

[TH="width: 35%"] School Name/Location [/TH]
[TH="width: 27%"] Course/Degree/Award [/TH]
[TH="width: 15%, align: center"] Start Date [/TH]
[TH="width: 13%, align: center"] End Date [/TH]
[TH="width: 10%, align: center"] Level [/TH]

[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1970[/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]
Company Name
The Parliament of TanzaniaMember - Njombe North Constituency

[TH="colspan: 4, align: left"] EMPLOYMENT HISTORY [/TH]

[TH="align: center"] Position [/TH]
[TH="align: center"] From Date [/TH]
[TH="align: center"] To Date [/TH]

[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"]2015[/TD]
Chama Cha Mapinduzi, CCMMember - National & Regional Council
Chama Cha Mapinduzi, CCMChairperson (CCM Iringa Region)
Chama Cha Mapinduzi, CCMWard Councilor

[TH="colspan: 4, align: left"] POLITICAL EXPERIENCE [/TH]

[TH="class: text_menu, width: 47%"]Ministry/Political Party/Location [/TH]
[TH="class: text_menu, width: 31%, align: center"]Position [/TH]
[TH="class: text_menu, width: 12%, align: center"]From[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 10%, align: center"]To[/TH]

[TD="align: center"]2007[/TD]
[TD="align: center"]2012[/TD]

[TD="align: center"]2007[/TD]
[TD="align: center"]2012[/TD]

[TD="align: center"]2000[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
 
Mtoa mada we ni tambara kama unataka kujadili suala la elimu ya wabunge mtaumbuka na magamba yeni embu tupambanushie CV ya Michael Lekule Lizer (MB) Longido na Maji Marefu kama hutapoteza fahamu zako finyu kama ufagio wa buibui.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…