Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Mbunge wa Gairo Ahmed Shabiby ambaye ni kaka wa mfanyabiashara Meleikh Online Shabiby alivamia sherehe ya wafanyakazi wa Mdogo wake Meleikh Shabiby na akapata nafasi ya kuzungumza na wafanyakazi ambapo aliwasisitiza kufanya kazi kwa weledi na bidii na akatoa ahadi kuwa ipo siku atakuja kuwafukuza wafanyakazi wote wazembe kwenye Makampuni Meleikh Shabiby.
Mbunge huyo ameyasema hayo usiku wa kuamkia leo katika sherehe ya kufungua mwaka ya wafanyakazi wote wa mfanyabiashara Meleikh Shabiby.
Source: Ngasa TV
Mbunge huyo ameyasema hayo usiku wa kuamkia leo katika sherehe ya kufungua mwaka ya wafanyakazi wote wa mfanyabiashara Meleikh Shabiby.
Source: Ngasa TV