#COVID19 Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Musukuma atengeneza sehemu maalumu ya kupiga nyungu kwa wapiga kura wake

Hivi kwa nini hii nchi watu wasiruhusiwe kujitenga? Kila kabila lipewe nchi yake

Kiwango cha ujinga kwa baadhi ya makabila siyo cha level ya dunia hii. Wanatakiwa wapewe nchi yao wakae wenyewe
Hahahaaaa! Kwakweli,
 
Naona hayo mazingira kuna uwezekano mtu akaja kutoa ushuhuda kwa kula tunda kimasihara..ohooπŸ˜†πŸ˜†
 
Mapambano ya Corona virus yanapamba moto hapa nchini. Na kila mtu anatoka kivyake.

Tunasikia kila kona ni habari za nyungu, lakini hii ya Musukuma ni balaa. Wapiga kura wote Geita vijijini!

View attachment 1711682

Asiwe mbaguzi mbona kuna Mawaziri tayari wanaihitaji huduma hiyo kwa dharura sana?

Yeye anatoa kwa wasukuma tu?

Hiiiiii bagosha!
 
Hivi kwa nini hii nchi watu wasiruhusiwe kujitenga? Kila kabila lipewe nchi yake

Kiwango cha ujinga kwa baadhi ya makabila siyo cha level ya dunia hii. Wanatakiwa wapewe nchi yao wakae wenyewe
ahahahahaaaa chadema walikuwa sahihi siyo utawala wa majimbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…