Nikitoka kupigwa utanikanda chumbani๐๐ ukidundwa mi simo๐
Utakandwa na mangumi๐ฌNikitoka kupigwa utanikanda chumbani
[emoji28][emoji28][emoji28]Kakonda mbavu, kanenepa tumbo...[emoji23][emoji1787]
Fatty liverKakonda mbavu, kanenepa tumbo...[emoji23][emoji1787]
Sura ya kichawi kabisa
Kwahiyo na wewe uko Kama wao maana hela umejilinganisha nao na umegundua hata wewe unaweza kuwa kiongozi Kama wao.Mpaka jiwe amalize muda wake basi tutashuhudia mengi ya ajabu na ya kitoto kama haya.
Kama watu wana namna hii eti wameweza kuwa viongozi basi na mm naamini ipo siku nitakuwa rais.
TBS wanasemajeMapambano ya Corona virus yanapamba moto hapa nchini. Na kila mtu anatoka kivyake.
Tunasikia kila kona ni habari za nyungu, lakini hii ya Musukuma ni balaa. Wapiga kura wote Geita vijijini!
View attachment 1711682
Sijui nani anawawakilisha wananchi wake muda huu bungeniHadi bukta jamaa kapiga mayenu
Nyungu/sauna ni ushirikina?