Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kama ni kweli Mbowe ntamp zawadi.Wachaga wote watamkimbia Ole sabaya!
Dogo alijisahau sana eti na yeye alitaka kugombea ubunge wa jimbo la Hai.
Aiseee !!Akili zake ni kama huyu mwenzake hapa chini [emoji116]View attachment 2144609
Huyu kishajua mwenye jimbo karudiWanafiki
Mbunge wa Hai (CCM), angalia barabara za vijijini kuna ufisadi mkubwa umefanyika kupitia wakandarasi .Mh Saashisha , ambaye alijulikana kama Team Sabaya , kutokana na kuwa bega kwa bega na Sabaya kwenye mambo yote , leo amedai hadharani kwamba amemtumia salamu Freeman Mbowe siku ile ile aliyotoka gerezani, huku akifunguk...
Jimbo la Hai ,sabaya anakiri kuwa kura hazikuhesabiwa na ndio laana iliyompata
Kwa vile yeye na genge lake wameamua kuwa upande wa CCM "C", huku ACT wakichagua kuwa CCM "B" kule Zanzibar basi hamna tatizo. Mpinzani wa kweli alikuwa Mtikila peke yake nchini hii.Jimbo la Hai ,sabaya anakiri kuwa kura hazikuhesabiwa na ndio laana iliyompata
Nani kakudanganya ?Kwa vile yeye na genge lake wameamua kuwa upande wa CCM "C", huku ACT wakichagua kuwa CCM "B" kule Zanzibar basi hamna tatizo. Mpinzani wa kweli alikuwa Mtikila peke yake nchini hii.
Kama ni hivyo anaomba radhi ya kazi gani ?
Kwani hiyo barabara anapita mwenyewe?Tsh bilion 1.5 zilizotolewa na samia ukaamua kwenda kujenga barabara moja tu kwenye kata moja kati ya kata 17 , itakugwarimu mwaka 2025...
Soma vizuri nilichoandika. Unasoma haraka kama afisa tarafa?Kwani hiyo barabara anapita mwenyewe?
Mh Saashisha, ambaye alijulikana kama Team Sabaya, kutokana na kuwa bega kwa bega na Sabaya kwenye mambo yote, leo amedai hadharani kwamba amemtumia salamu Freeman Mbowe siku ile ile aliyotoka gerezani, huku akifunguka kwamba Wao wamekwishatubu kwa Mungu ili awasamehe...
View attachment 2144768Mh Saashisha, ambaye alijulikana kama Team Sabaya, kutokana na kuwa bega kwa bega na Sabaya kwenye mambo yote, leo amedai hadharani kwamba amemtumia salamu Freeman Mbowe siku ile ile aliyotoka gerezani, huku akifunguka kwamba Wao wamekwishatubu kwa Mungu ili awasamehe.
Ikiwa kama kulikuwa na matatizo yoyote ama kama walimuumiza yoyote wakati wa Uchaguzi, ameendelea kufunguka kwamba anaamini Mungu amewasamehe.
Ameyasema hayo na kunukuliwa na vyombo katika ziara ya kusikiliza kero za wananchi kwenye jimbo la Hai.
Bali bado hatujajua kama Msamaha huu unamhusu pia aliyekuwa OCD wa Hai kamanda Mpina au la.