Mbunge wa Hai (CCM) Saasisha Mafuwe adai kumtumia salamu Mbowe, asema wao wamemuomba Mungu ili awasamehe

Bilioni 1.5 zinaweza kujenga barabara kilometa ngapi za lami, vumbi au changarawe?
 
Huo msamaha ungekua na tija kama angeamua kujiudhuru kwakua hakuchaguliwa kihalali na akujutia madhambi waliyofanya sio anacheza na akili zetu kujifanya anaomba msamaha wakati kula yake hadi leo ni zao la matendo maovu waliyomfanya mbowe
 
Bilioni 1.5 zinaweza kujenga barabara kilometa ngapi za lami, vumbi au changarawe?
Zilitengwa kutengeneza barabara za changarawe. Rais hakua mjinga kutenga 1.5 bilion kwa kila jimbo? Alijua fedha zitatosha kuokoa maskini walioko vijijini.

Tatizo saashisa anatumia mbinu mbovu na kujifanya anajuana na manaibu mawaziri ili kuvujisha fedha za umma.
Saashisha amekalia kuti kavu
 
FAM hatogombea tena. Nafikiri atakwenda Lema safari hii. Na Arusha watapeleka mtu mwingine
 
wa kama kulikuwa na matatizo yoyote ama kama walimuumiza yoyote wakati wa Uchaguzi, ameendelea kufunguka kwamba anaamini Mungu amewasame
Mtu unaomba msamaha kijinga hivi?

Mimi sio Mungu, lakini sidhani kuwa Mungu anakubaliana na upuuzi kama huu wa mtu anayeomba msamaha asijue "kama kulikuwa na matatizo yoyote, au kama walimuumiza yeyote...". Sasa msamaha anaomba wa nini?
 
Hizo fedha walipewa wabunge au wakurugenzi wa Halmashauri?
 
Huo msamaha ungekua na tija kama angeamua kujiudhuru kwakua hakuchaguliwa kihalali na akujutia madhambi waliyofanya sio anacheza na akili zetu kujifanya anaomba msamaha wakati kula yake hadi leo ni zao la matendo maovu waliyomfanya mbowe
Nafikiri bado anatafakari ili ajiuzulu au la
 
Akae mkao wa kula,avae na kanga Moko,aliyemuweka hapo,ameishaondoka,sasa mwanaume FAM amekuja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…