johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mbunge wa jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro mh Mafuwe ameiomba serikali kuu kuingilia kati kuwasaidia wananchi wa jimbo hilo waliokumbwa na mafuriko.
Mafuwe anasema hali ni mbaya sana kwani vyoo vinabomoka na vinyesi kuzagaa mitaani hali inatishia uwezekano wa kuzuka magonjwa ya mlipuko wakati wowote kuanzia sasa.
Kadhalika madaraja nane yamebomolewa kabisa na mafuriko hayo.
Source: ITV habari
Kazi Iendelee!