Mbunge wa Ilala, Mussa Azzan Zungu ashinda kura za maoni kugombea Uspika kupitia CCM

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
​

Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kuwa Mbunge wa Ilala Mussa Azzan Zungu amechaguliwa kwa kishindo kuwa Spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupiti CCM katika Uchaguzi uliomalizika hivi punde huko Dodoma.

Taarifa zinasema Zungu amepata Kura 348 akimshinda mpinzani wake Stephen Masele aliyepata kura 16.

Source: Maulid Kitenge
 
Sijaelewa hapo. Kachaguliwa kuwa Spika, au mgombea wa hiyo nafasi? Kama ni Spika, ina maana inaruhusiwa chama kimoja kuweka muwania nafasi hiyo mtu zaidi ya mmoja?
 
Hamna kitu hapo takataka
 
huyu mzee mpka afie bungeni khaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…