Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Kwa miaka mitano ameifanyia nini Busanda mpaka ajiamini kiasi hicho?Mbunge wa Jimbo la Busanda, Mkoani Geita, Mhandisi Tumaini Brayson Magesa amezungumza na Manara TV na kufafanua sababu zilizomfanya kuteuliwa kugombea Ubunge wa Jimbo la Busanda, licha ya kushika nafasi ya tatu katika kura za maoni za uchaguzi wa mwaka 2020.
Amesema anaamini kuwa kila jambo lina wakati wake, na muda wake wa kuwa mbunge ulikuwa bado haujafika hadi pale alipopata uteuzi kupitia vikao vya maamuzi ya chama chake Cha CCM.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Soma Pia: Kuelekea 2025 - Orodha ya CV za Wabunge kwa mwaka 2020 - 2025 kutoka kila mkoa Tanzania
Kwa mujibu wake, uteuzi wake haukuwa suala la upendeleo bali lilifanyika kwa mujibu wa taratibu na maamuzi ya vikao vya juu vya chama chake.
Ni pacha wake na Doto Biteko, alipewaga Ubalozi nadhani.Kama aliyekua wa kwanza hakupewa UDAS au ukuu wa wilaya,hawezi kurudi tena.
Yegoo Magesa, Huu ndo mwaka wako wa kutetea kombeMbunge wa Jimbo la Busanda, Mkoani Geita, Mhandisi Tumaini Brayson Magesa amezungumza na Manara TV na kufafanua sababu zilizomfanya kuteuliwa kugombea Ubunge wa Jimbo la Busanda, licha ya kushika nafasi ya tatu katika kura za maoni za uchaguzi wa mwaka 2020.