Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa akisalimia wananchi

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
2,833
Reaction score
1,301
Igunga, Tabora

Habari Picha: Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa akisalimiana na Wakazi wa Kitongoji cha Mhama Mmoja Kijiji cha Itumba akiwa siku ya Pili ya Ziara ya Kikazi Jimboni.

Baada ya Ziara ya Kikazi, Mheshimiwa Ngassa (MB) amekutana na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata na kuzindua Ujenzi wa Ofisi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Itumba.

"KAZI NA MAENDELEO"

Imetolewa na:
Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Igunga
21 Mei 2023

 
Kwahiyo kusalimia wananchi nayo ni habari siku hizi? Hii nchi siku hizi imekuwa na vijana wajinga na wapuuzi sana
 
Jiandae kama Namuona Shishi akipiga jaramba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…