Elections 2010 Mbunge wa Jimbo langu!

Elections 2010 Mbunge wa Jimbo langu!

JACADUOGO2.

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2010
Posts
930
Reaction score
220
Jamani naombeni mnisadie kujua kuwa mbunge wa jimbo la Rorya, Mh. Lameck Okambo Airo (CCM) yuko bungeni Dodoma au yuko wapi? Na kama yuko bungeni anafanya nini kwani hajaongea hata siku moja pale bungeni na wanarorya wana matatizo mengi ambayo walitegemea kuwa yangeongelewa bungeni na huyu mbunge wao Lameck O. Airo. Wanarorya tunataka kujua hatima ya Rorya na huyo mbunge wa Rorya ambaye ameshindwa kuzungumzia matatizo ya Rorya pale bungeni.
Je, wanarorya tuna mbunge au hatuna mbunge? Mnisaidie!
 
Rostam yeye pia ni bubu bungeni!
 
Si nasikia huyu Mbunge ni tajiri huwa anawasaidia watu, pia nasikia kawajengea mashule, ingiwa ni darasa la nne la kata
 
Back
Top Bottom