Mbunge wa Kawe Askofu Gwajima acha Unafiki tafadhali. Hizi Sifa unazompa Rais Samia kuhusu Royal Tour yake ni za Kumsanifu na Kumdharau pia

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Mbunge wa Kawe Askofu Josephat Mathias Gwajima hujawahi na wala humpendi mpaka hukupenda Rais Samia kuwa Kiongozi hivi leo isipokuwa unachokifanya sasa ni kumpaka tu Mafuta Mama wa Watu kwa Mgongo wa Chupa na bahati nzuri hata Yeye ameshakushtukia na anasubiri ujae vizuri amalize Shughuli ndani ya Kamati ya Maadili na CC ya CCM.

Gwajima wadanganye wale Wapuuzi wako kadhaa uliowateka Akili zao mbovu na wanakuamini ila kamwe siyo kwa Sisi wengine ambao tunayajua yako angalau kwa 75% tu na yanatutosha na leo tunaanza Kufunguka taratibu juu ya tabia zako za Unafiki, Dharau, Sanifu na Ubaguzi wa Kidini.

Askofu Gwajima hivi siyo Wewe wakati Hayati Rais Dkt. Magufuli ( Poti wako na aliyekuweka hapo Kawe kuwa Mbunge ) ulikuwa ukienda Kuzungumza nae Mambo yenu ulikuwa ukimsihi asimshirikishe Makamu wake ( Samia Suluhu Hassan Kipindi hicho ) na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwa Uislamu wao?

Mimi Mightier ni Mkristo tena Mkatoliki kabisa ila kama kuna Kiongozi wa Dini ( hasa wa haya Madhehebu ya Kiroho na Kilokole ) ambaye kupitia Watu wake wa karibu nimeambiwa ni Mbaguzi na hawapendi Waislamu ni Wewe Askofu Jossphat Mathias Gwajima.

Na Ushahidi wa hili upo kupitia ile Kauli yako ambayo Watu wa CHADEMA walikuwa wakiirudia mno katika Kampeni za mwaka jana. Na Kauli ile ilikumaliza sana tu isipokuwa kwakuwa Ndugu yako ( Poti Hayati) alishaamua uwe Mbunge iwe Jua au Mvua ukawa kwa Mabavu ya NEC na si ya wana Kawe.

Maelezo yako yote uliyoyatoa leo pamoja na Sifa dhidi ya President Samia's Royal Tour yake yamejaa Unafiki mtupu na kwa Wabobezi wa Saikolojia kama Mightier leo Body Language yako ilikuwa haiendani na uliyokuwa ukiyasema.

Wenye Akili Kubwa kukuzidi Askofu Jossphat Mathias Gwajima ( japo huwa unajitapa una Akili sana ) tumejua kuwa leo umemsifia mno Mama ( Rais Samia Suluhu Hassan ) kwakuwa unajua kuna Hukumu yako ndani ya Chama Tawala ( CCM ) dhidi yako inakusubiri na Yeye kama Mwenyekiti wako ndiyo mpiga Rungu Mkuu wa Adhabu Kali inayokustahili.

Rais Samia Suluhu Hassan nawe namalizia kwa Kukuambia kuwa kama kuna Mtu ambaye hakupendi na hajapenda Urais wako na hata akiwa na Marafiki zake Wanafiki na Magaidi ndani ya Chama Tawala ( CCM ) basi Mwandamizi ( Kiongozi ) wao nj huyu Mbunge wa Kawe Askofu Jossphat Gwajima.

Tena nakusihi kuwa nae makini kuliko unavyodhania ni Nyoka mwenye Sumu Kali ambaye alilelewa vyema na Mtangulizi wako ( sasa Hayati ) ili aje Kuwangata vibaya Watanzania ila kwa sasa anataka kuanza Kukungata Wewe Kwanza ila bado anakitafuta Kisigino chako hajabahatika kukipata kwakuwa nawe hutulii sehemu moja mara Unguja mara Dar es Salaam na mara Dodoma.

Askofu Gwajima ANGUKO LAKO laja.
 
Juzi alikuwa na Rais alipotembelea Kawe, hakusema chochote kuhusu chanjo zaidi ya kucheka cheka tu, hata kama Rais aliwauliza wananchi, Gwajima angetakiwa kusema msimamo wake pale, kukaa kimya ulikuwa ni uoga, uzandiki, na kutojiamini, ajabu leo anaendelea kuwalaghai wasiojielewa.
 
🤣🤣🤣🤣 eti anguko lako laja teh teh utaanguka wewe mwenyewe kwa Jina la Yesu kristo
 
Kumbuka maneno ya Bwana Yesu: 'Angalieni, mtu asiwadanganye. Kwa sababu wengi watakuja kwa jina langu, wakisema...nao watadanganya wengi' (Mt 24).
'
 
Sijamsikia Gwajima alichosema leo (maana simfatilii kivile). Ila kwa hii rant yako inaonekana kuna kitu kasema kumekugusa. Ntafatilia.

Pamoja na hayo kuna kale kamsemo ka simple mind discuss people, great minds discuss ideas kanakuhusu.

Ukiwa great mind huwezi kushughulishwa na Gwajima. Gwajima is just a man, people come people go. Uzuri wa Rais Samia anaonekana ni mtu very calculated, japo mwanzoni alitaka kuanza kupotezwa na siasa za bara ila walau kadri siku zinavyokwenda anaanza kujengeka kwenye utulivu fulani wa fikra, ameacha kupelekeshwa na mihemuko, iwe ya wanasiasa au wanadini. Na hilo litamfikisha pazuri come 2025.

Kudili na individuals siyo hallmark of great leaders. Dealing with ideas is the big deal. Kuna anayoyasema Gwajima kutoka mimbarini ni big ideas unayachukua unayafanyia kazi. Kuna anayoyasema Gwajima kutoka mimbarini ni pumba tu unayapotezea. Ndivyo binadamu wote tulivyo.
 
Mbona mnaulazimisha sana ugomvi wa Samia na Gwajima Mkuu? Yaani watu wametega sikio kama ungo kusuburi Samia amjibu Gwajima hovyo or aamurishe Gwajima akamatwe!! Huo ugomvi haupo na hilo halitotokea. Hayo maombi ni mfu
 
Mbunge wa Kawe Askofu Josephat Mathias Gwajima hujawahi na wala humpendi mpaka hukupenda Rais Samia kuwa Kiongozi hivi leo isipokuwa unachokifanya sasa ni kumpaka tu Mafuta Mama wa Watu kwa Mgongo wa Chupa na bahati nzuri hata Yeye ameshakushtukia na anasubiri ujae vizuri amalize Shughuli ndani ya Kamati ya Maadili na CC ya CCM.

Gwajima wadanganye wale Wapuuzi wako kadhaa uliowateka Akili zao mbovu na wanakuamini ila kamwe siyo kwa Sisi wengine ambao tunayajua yako angalau kwa 75% tu na yanatutosha na leo tunaanza Kufunguka taratibu juu ya tabia zako za Unafiki, Dharau, Sanifu na Ubaguzi wa Kidini.

Askofu Gwajima hivi siyo Wewe wakati Hayati Rais Dkt. Magufuli ( Poti wako na aliyekuweka hapo Kawe kuwa Mbunge ) ulikuwa ukienda Kuzungumza nae Mambo yenu ulikuwa ukimsihi asimshirikishe Makamu wake ( Samia Suluhu Hassan Kipindi hicho ) na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwa Uislamu wao?

Mimi Mightier ni Mkristo tena Mkatoliki kabisa ila kama kuna Kiongozi wa Dini ( hasa wa haya Madhehebu ya Kiroho na Kilokole ) ambaye kupitia Watu wake wa karibu nimeambiwa ni Mbaguzi na hawapendi Waislamu ni Wewe Askofu Jossphat Mathias Gwajima.

Na Ushahidi wa hili upo kupitia ile Kauli yako ambayo Watu wa CHADEMA walikuwa wakiirudia mno katika Kampeni za mwaka jana. Na Kauli ile ilikumaliza sana tu isipokuwa kwakuwa Ndugu yako ( Poti Hayati) alishaamua uwe Mbunge iwe Jua au Mvua ukawa kwa Mabavu ya NEC na si ya wana Kawe.

Maelezo yako yote uliyoyatoa leo pamoja na Sifa dhidi ya President Samia's Royal Tour yake yamejaa Unafiki mtupu na kwa Wabobezi wa Saikolojia kama Mightier leo Body Language yako ilikuwa haiendani na uliyokuwa ukiyasema.

Wenye Akili Kubwa kukuzidi Askofu Jossphat Mathias Gwajima ( japo huwa unajitapa una Akili sana ) tumejua kuwa leo umemsifia mno Mama ( Rais Samia Suluhu Hassan ) kwakuwa unajua kuna Hukumu yako ndani ya Chama Tawala ( CCM ) dhidi yako inakusubiri na Yeye kama Mwenyekiti wako ndiyo mpiga Rungu Mkuu wa Adhabu Kali inayokustahili.

Rais Samia Suluhu Hassan nawe namalizia kwa Kukuambia kuwa kama kuna Mtu ambaye hakupendi na hajapenda Urais wako na hata akiwa na Marafiki zake Wanafiki na Magaidi ndani ya Chama Tawala ( CCM ) basi Mwandamizi ( Kiongozi ) wao nj huyu Mbunge wa Kawe Askofu Jossphat Gwajima.

Tena nakusihi kuwa nae makini kuliko unavyodhania ni Nyoka mwenye Sumu Kali ambaye alilelewa vyema na Mtangulizi wako ( sasa Hayati ) ili aje Kuwangata vibaya Watanzania ila kwa sasa anataka kuanza Kukungata Wewe Kwanza ila bado anakitafuta Kisigino chako hajabahatika kukipata kwakuwa nawe hutulii sehemu moja mara Unguja mara Dar es Salaam na mara Dodoma.

Askofu Gwajima ANGUKO LAKO laja.
Poleni neno litasimama,hatabadilika mmeula wa chuya
 
Sijamsikia Gwajima alichosema leo (maana simfatilii kivile). Ila kwa hii rant yako inaonekana kuna kitu kasema kumekugusa. Ntafatilia.

Pamoja na hayo kuna kale kamsemo ka simple mind discuss people, great minds discuss ideas kanakuhusu.

Ukiwa great mind huwezi kushughulishwa na Gwajima. Gwajima is just a man, people come people go. Uzuri wa Rais Samia anaonekana ni mtu very calculated, japo mwanzoni alitaka kuanza kupotezwa na siasa za bara ila walau kadri siku zinavyokwenda anaanza kujengeka kwenye utulivu fulani wa fikra, ameacha kupelekeshwa na mihemuko, iwe ya wanasiasa au wanadini. Na hilo litamfikisha pazuri come 2025.

Kudili na individuals siyo hallmark of great leaders. Dealing with ideas is the big deal. Kuna anayoyasema Gwajima kutoka mimbarini ni big ideas unayachukua unayafanyia kazi. Kuna anayoyasema Gwajima kutoka mimbarini ni pumba tu unayapotezea. Ndivyo binadamu wote tulivyo.
Kula like kama 1000 hivi, watu wanaamini kumchonganisha Samia na Gwajima ni kuiparaganisha CCM, and wengine kwa sababu ni wambea na wachonga ngenga wanatafuta headline itayowafanya wabwatuke mitandaoni mwezi mzima!! Samia siyo wa kihivyo, angekuwa wa kihivyo kelele zilizopigwa kuhusu Mbowe leo Mbowe angekuwa nje, ila Mother katulia kimya anaacha sheria ifuate mkondo wake, yeye anachapa kazi tu. And wasichojua watu ni kwamba the way anadeal na Gwajima anaaiunganisha zaidi CCM kwa kulivuta kundi la Bwana yule ambalo lilichukizwa sana na "blunder ya Sabaya".
 
The best of Askofu was destined for today and he has vehemently and wisely delivered with supreme intelligence. God bless Bishop Gwajima. Amen
 
Juzi alikuwa na Rais alipotembelea Kawe, hakusema chochote kuhusu chanjo zaidi ya kucheka cheka tu, hata kama Rais aliwauliza wananchi, Gwajima angetakiwa kusema msimamo wake pale, kukaa kimya ulikuwa ni uoga, uzandiki, na kutojiamini, ajabu leo anaendelea kuwalaghai wasiojielewa.
Ile misukule yake leo ilikuwa inarukaruka kushangilia kama imepagawa, yaani alipowafikisha wale mazombie hata akitaka kuwakorogea cyanide awanyweshe akiwaaminisha kuwa anawapeleka mbinguni wanaifakamia kama kama walamba asali vile.
 
Mbunge wa Kawe Askofu Josephat Mathias Gwajima hujawahi na wala humpendi mpaka hukupenda Rais Samia kuwa Kiongozi hivi leo isipokuwa unachokifanya sasa ni kumpaka tu Mafuta Mama wa Watu kwa Mgongo wa Chupa na bahati nzuri hata Yeye ameshakushtukia na anasubiri ujae vizuri amalize Shughuli ndani ya Kamati ya Maadili na CC ya CCM.

Gwajima wadanganye wale Wapuuzi wako kadhaa uliowateka Akili zao mbovu na wanakuamini ila kamwe siyo kwa Sisi wengine ambao tunayajua yako angalau kwa 75% tu na yanatutosha na leo tunaanza Kufunguka taratibu juu ya tabia zako za Unafiki, Dharau, Sanifu na Ubaguzi wa Kidini.

Askofu Gwajima hivi siyo Wewe wakati Hayati Rais Dkt. Magufuli ( Poti wako na aliyekuweka hapo Kawe kuwa Mbunge ) ulikuwa ukienda Kuzungumza nae Mambo yenu ulikuwa ukimsihi asimshirikishe Makamu wake ( Samia Suluhu Hassan Kipindi hicho ) na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwa Uislamu wao?

Mimi Mightier ni Mkristo tena Mkatoliki kabisa ila kama kuna Kiongozi wa Dini ( hasa wa haya Madhehebu ya Kiroho na Kilokole ) ambaye kupitia Watu wake wa karibu nimeambiwa ni Mbaguzi na hawapendi Waislamu ni Wewe Askofu Jossphat Mathias Gwajima.

Na Ushahidi wa hili upo kupitia ile Kauli yako ambayo Watu wa CHADEMA walikuwa wakiirudia mno katika Kampeni za mwaka jana. Na Kauli ile ilikumaliza sana tu isipokuwa kwakuwa Ndugu yako ( Poti Hayati) alishaamua uwe Mbunge iwe Jua au Mvua ukawa kwa Mabavu ya NEC na si ya wana Kawe.

Maelezo yako yote uliyoyatoa leo pamoja na Sifa dhidi ya President Samia's Royal Tour yake yamejaa Unafiki mtupu na kwa Wabobezi wa Saikolojia kama Mightier leo Body Language yako ilikuwa haiendani na uliyokuwa ukiyasema.

Wenye Akili Kubwa kukuzidi Askofu Jossphat Mathias Gwajima ( japo huwa unajitapa una Akili sana ) tumejua kuwa leo umemsifia mno Mama ( Rais Samia Suluhu Hassan ) kwakuwa unajua kuna Hukumu yako ndani ya Chama Tawala ( CCM ) dhidi yako inakusubiri na Yeye kama Mwenyekiti wako ndiyo mpiga Rungu Mkuu wa Adhabu Kali inayokustahili.

Rais Samia Suluhu Hassan nawe namalizia kwa Kukuambia kuwa kama kuna Mtu ambaye hakupendi na hajapenda Urais wako na hata akiwa na Marafiki zake Wanafiki na Magaidi ndani ya Chama Tawala ( CCM ) basi Mwandamizi ( Kiongozi ) wao nj huyu Mbunge wa Kawe Askofu Jossphat Gwajima.

Tena nakusihi kuwa nae makini kuliko unavyodhania ni Nyoka mwenye Sumu Kali ambaye alilelewa vyema na Mtangulizi wako ( sasa Hayati ) ili aje Kuwangata vibaya Watanzania ila kwa sasa anataka kuanza Kukungata Wewe Kwanza ila bado anakitafuta Kisigino chako hajabahatika kukipata kwakuwa nawe hutulii sehemu moja mara Unguja mara Dar es Salaam na mara Dodoma.

Askofu Gwajima ANGUKO LAKO laja.
Nafikiria kila mtu ana uhuru wake kwa watakao msilizabinaweza ikawa safi tuu
 
Mama kusema gwagiboy aliniacha hoi. Hivi Gwagima bado una uboy ndani yako?
 
Kumsifia mtu ni kubaya?? Gwajima kutofautiana na mamlaka kwa swala la COVID-19 ndio atofautiane nae milele?

Kama unachozungumza ni kweli si uweke ushaidi hapa wa yeye kumshauri hayati Magufuli kuhusu makam na Pm, umetaja swala gumu kbs la udini hapa, unapaswa kuweka ushaidi wako.

Rais alihoji juzi watu barabarani tulisikia wote walichojibu, wengine wachanje wengine hawachanji

Dr Ndungulile alitofautiana na Magufuli kwenye kujifukiza mbona Magufuli alimwamini tena kwa nafasi nyingine?? Au Ndungulile nae angetofautiana nae milele??
 
Back
Top Bottom