Juzi alikuwa na Rais alipotembelea Kawe, hakusema chochote kuhusu chanjo zaidi ya kucheka cheka tu, hata kama Rais aliwauliza wananchi, Gwajima angetakiwa kusema msimamo wake pale, kukaa kimya ulikuwa ni uoga, uzandiki, na kutojiamini, ajabu leo anaendelea kuwalaghai wasiojielewa.