na utashiba kwelikweli hiyo siku hadi uvimbiwe..
tena usikubali akupite tu..
mpe escort aendako huku ukifurahia uumbaji murua hadi atapoishia[emoji38] [emoji13]
Kudos Passaris matusi hayajengi wala hayana msaada wowote kwa hali ilivyo sasa...ila je hio sheria ya hate speech ipo vipi maana sijawai sikia mwanasiasa aliefungwo na wengine kama hawa ushahidi unakua nje nje...