... angalau sasa sababu imeeleweka ni kwanini vifurushi vilipanda exponentially! KODI, KODI, KODI.Kwa hiyo serikali imepandisha kodi ili kutukomoa wananchi kwa ajili ya kutuletea maendeleo?
Kwa nini hilo alilojibu ina maana hawatashusha bei ya vifurushi si ndio maana yake...?
Mbona kauli zaidi zinatofautiana na boss wapi Mh. Raise wakati alishatoa agizo kuwa bei zishushwe halafu anakinzana na kauli ya Mh. Rais...?
Hajajibu swali, siasa tu,
Aseme lini bei inarudi kama kabla ya april 2021
Hivi ile kitu "amri ya rais ni sheria" ilienda na mwendazake?
Hilo la kupandisha vifurushi ilikuwa ni jambo limeshapangwa na utawala wa Magufuli, na hata mama juzi alivyosema vifurushi vishuke bei au kurejea kwenye bei za awali, nilijua analeta siasa tu. Mapato ya serikali yanazidi kushuka, hivyo serikali ikaona ipandishe huko kwenye mawasiliano ili kupata fedha. Kimsingi hakuna bei itashuka maana wananchi wanaendelea kutumia bei hizi mpya kwa maumivu makubwa, huku wakiwa kimya.
Sina hakika, natumia voda na airtel sioni mabadiliko yoyote.Hatari sana kiongozi ila nimeskia kuna baadhi ya makampuni wameshusha bei na kuongeza packages mkuu...!
........Ameeleza "Ni lazima tuangalie 'Production Cost' aweze kufanya Biashara katika kiwango ambacho anaweza kupata faida ili Serikali pia iendelee kupata Kodi, lakini Kodi hizo ziweze kurudi kujenga barabara na Zahanati"
Mbunge anakwenda na trending issue....atakuja kivingine baadaeMbunge pumbavu sana huyu!
Gharama za vifurushi ni bei rahisi sana. Mtu sh. 1500 unapata gb 1 na madakika kibao wiki nzima alafu mtu bado unalalamika?
Wana kilolo wana kero nyingi sana hasa suala la barabara kule Dabaga ni kilio cha kila siku alafu yeye anakuja kuongelea ishu nyepesi ya vufurushi?
Bure kabisa
Mbunge wa Kilolo, Justin Nyamoga akiwa Bungeni Dodoma leo amehoji ni lini Serikali itarudia mpango wake wa awali wa kushusha vifurushi ili Watanzania wavipate kwa bei nafuu.
Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Kundo Mathew, amesema changamoto ya Biashara ya Mawasiliano ipo katika kuangalia usawa kati ya watumiaji, Serikali na watoa huduma.
Ameeleza "Ni lazima tuangalie 'Production Cost' aweze kufanya Biashara katika kiwango ambacho anaweza kupata faida ili Serikali pia iendelee kupata Kodi, lakini Kodi hizo ziweze kurudi kujenga barabara na Zahanati"
Mtandao gani huu mkuu?Mbunge pumbavu sana huyu!
Gharama za vifurushi ni bei rahisi sana. Mtu sh. 1500 unapata gb 1 na madakika kibao wiki nzima alafu mtu bado unalalamika?
Wana kilolo wana kero nyingi sana hasa suala la barabara kule Dabaga ni kilio cha kila siku alafu yeye anakuja kuongelea ishu nyepesi ya vufurushi?
Bure kabisa