mpenda JF-Expert Member Joined Jul 21, 2010 Posts 250 Reaction score 22 Nov 7, 2010 #1 Jamani wana jf naomba mnijuze; kule kilombero alishinda nani? Ccm au chadema?
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 54,762 Reaction score 59,204 Nov 7, 2010 #2 mpenda said: Jamani wana jf naomba mnijuze; kule kilombero alishinda nani? Ccm au chadema? Click to expand... unataka kujua nani alishinda au nani alitangazwa kuwa mbunge? si unajua kuna baadhi ya wabunge hawakushinda ila wakatangazwa kuwa wabunge?
mpenda said: Jamani wana jf naomba mnijuze; kule kilombero alishinda nani? Ccm au chadema? Click to expand... unataka kujua nani alishinda au nani alitangazwa kuwa mbunge? si unajua kuna baadhi ya wabunge hawakushinda ila wakatangazwa kuwa wabunge?
Fabolous JF-Expert Member Joined Sep 23, 2010 Posts 2,993 Reaction score 3,747 Nov 7, 2010 #3 Imeshinda Chadema ila aliokabidhiwa hati ya ubunge na msimamizi wa uchaguzi ni mgombea wa ccm!
Amigo Senior Member Joined Mar 7, 2009 Posts 150 Reaction score 3 Nov 7, 2010 #4 Na hii nasikia imefanywa hivyo kwa ajili kulinda msilahi ya wakubwa katika kiwanda cha Sukari hamna kitu kingine.
Na hii nasikia imefanywa hivyo kwa ajili kulinda msilahi ya wakubwa katika kiwanda cha Sukari hamna kitu kingine.