Mbunge wa Kisese, Luhaga Mpina aitaka Serikali itaje zilipo Tsh. Trilioni 360

Mimi niliposikia hii nikajua amekosea labda alimaanisha bill 360 za dpp ..
Hadi sasa sijaelewa hili maan hizo pesa ni nyingi Sana km tz tukizipata maana yake hii nchi itakuwa top 3 huko afrika kwa uchumi anaeelewa anifaamisheee...
 
Watu wakiwa wajinga wengi unawezakuwakaririsha vyovyote,eti trion 360!bajeti yetu tu ni trilion 30.
 
Huyu mpiga sjui mpina anaweza kuongea kweli lkn tunashindwa kumelewa kwa sababu analeta unafki hapa.kwa sababu yeye alikuwa waziri na anashiriki vikao vyote vya baraza la mawaziri mbona hakuongea hayo?
 
Mimi namkubali sana Mhe. Mpina. Japo siyo msomi sana lakini mchango wake Bungeni una manufaa sana na Mhe. Waziriwa fedha anatakiwa achukue hatua au ufuatiliaji kwa yale aliyoyasema.
 
Hao hawajui hela. Siyo kweli, trion 360 ni bajeti ya nchi kwa karibia miaka 10. Hela hiyo inaweza kuendesha bajeti ya nchi bila kutoza Kodi kwa miaka karibia 10. Impossible!!
Kwamba trilioni 300 ni fedha ya kuendesha nchi hii kwa miaka kumi kalisema aliyewahi kuwa Waziri wakati wa JPM Mh. Hasunga. Ni deni la kusadikika. Tuliwaeleza hapo awali lakini wakatuona wajinga. Sasa akili zimerudi na wanastuka na ukubwa wa hizo fedha ambazo zipo kwenye vitabu vya TRA.
 
Mwigulu angesikiliza huu ushauri tusingeingia kwenye tozo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…