Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Yaaan ukifika banana panda kwenda kivule aisee.
Kuna lami wamekula wajanja yaaan wanatengeneza vipande wanafika Sehemu ya Kilomita zaidi ya 7 hakuna njia mashimoo tupu.
Unakuta lamiii tena hawa watu sijui wamekubaliaje hii hali.
Hataree sana na inasikitisha kweli kweli maisha wanayoishi kama hawana mbunge na nwakani utashangaa wanamrudisha yuleyulee