Mbunge wa Kwimba mfanyabiashara ya mafuta anajiwakilisha Bungeni

Mbunge wa Kwimba mfanyabiashara ya mafuta anajiwakilisha Bungeni

kmbwembwe

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
10,892
Reaction score
7,780
Hawa jamaa zetu wenye kupenda wabunge matajiri pengine hawatusaidia sana. Unakuta mfanyabiashara anachomeka hiki na hiki cha wakulima na wafugaji halafu anamgeukia waziri wa nishati na ku declare interest halafu anaeleza shida zake binafsi hadi speaker kumjulisha kwamba aongee na yeye sio Waziri.

Ni sawa wafanyabiashara nao wana umuhimu mkubwa ila kuna hofu bunge likiwa linakumbatia maslahi ya wafanyabiashara tu wananchi wanaweza kujikuta wanaumia na ile kitu Mwalimu Nyerere alisema 'ubepari ni unyama'
 
Back
Top Bottom