Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Kwa mujibu wa Katibu wa Mbunge wa Jimbo la Mbongwe, Mobahe George amesema kuwa, mbunge wa jimbo hilo Nicodemas Maganga ni mzima na yupo mapumziko kwa sasa ndio maana hapatikani hewani na kwamba taarifa zilizoandikwa na gazeti la Jamvi la Habari ni za kupuuzwa hazina ukweli wowote https://t.co/0NB9J36h9o