Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Mbunge wa Mbogwe Nicodemus Maganga amebainisha kuwa watumishi wa serikali wanatakiwa kufanya kazi kulingana na matakwa ya kazi zao ili kutowaingiza wabunge katika wakati mgumu .
Amesema kumekuwa na watumishi wasio tenda haki na wajibu wao kutokana na utekelezaji kufanyika kwa asilimia 50 huku akisema kabla hawajachambuliwa na wananchi watumishi wachambuliwe .