Teh teh teh!
Huyo fundi kala hela ya Mnyeti? Hahaha. Mnyeti ni mwana sana kwenye social life, ila ni mbabe ukimletea ujuaji na dharau. Im sure huyo fundi kazingua.
Btw, wewe ulitaka ale hela asifanye kazi halafu achekewe tu? Au sbb ulijua ni mbunge hela ni za kuchota tu. Hela iheshimiwe.