Mbunge wa Mlimba, Suzan Kiwanga amwaga misaada ya mamilioni jimboni. Vimo vifaa vya kuzuia Virusi vya Corona

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426




Hakika Kutoa ni moyo tu na wala si utajiri. Wakati Wabunge wengi wa CHADEMA wakijitokeza wazi wazi kusaidia wananchi, wabunge wa chama kimoja wameanza kulogana na kubambikiana kesi wakigombea majimbo akiwemo mmoja ambaye jimbo la DSM limemshinda na kukimbilia Mkoa wa Mara ambako hata hivyo hana nafasi.
 
Kampeni hizi zimeanza noma sana mwaka huu tutapata misaada kutoka wagombea wa vyama vyote.
 
Viongozi wanatakiwa wawe msitari wa mbele sio wakae msitari wa nyuma halafu wanatoa matamko ya kusali kwa siku tatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…