Mbunge wa Momba Akabidhiwa Gari la Kubeba Wagonjwa Bungeni Jijini Dodoma

Mbunge wa Momba Akabidhiwa Gari la Kubeba Wagonjwa Bungeni Jijini Dodoma

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
2,833
Reaction score
1,301
WhatsApp Image 2023-11-10 at 23.26.30.jpeg

Mbunge wa Jimbo la Momba, Mhe. Condester Michael Sichalwe mara baada ya kumalizika kwa Bunge Novemba 2023 alipokea gari la kubeba wagonjwa la Halmashauri ya Momba.

Gari hilo la kubeba wagonjwa la Halmashauri ya Momba, Condester Sichalwe alilipokea kutoka kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson na Waziri wa Ofisi ya Rais - TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa.

WhatsApp Image 2023-11-10 at 23.26.29.jpeg


"Watu wa Halmashauri ya Momba hawatachangishwa tena kuhusiana na gharama ya Mafuta ya Ambulance kupeleka watu Hospitali. Gari hili nimelipokelea Bungeni mahali ninapoombea hoja nikiwa na dereva wa Momba, DMO" - Mhe. Condester Michael Sichalwe, Mbunge wa Jimbo la Momba Mkoa wa Songwe.
 

Attachments

  • WhatsApp Image 2023-11-10 at 23.26.29(1).jpeg
    WhatsApp Image 2023-11-10 at 23.26.29(1).jpeg
    495.4 KB · Views: 7
  • WhatsApp Video 2023-11-10 at 23.26.27.mp4
    6.4 MB
Hii siyo habari. Tumechelewa sana ndugu zangu. Hili lilipaswa kufanyika 1962.
 
Back
Top Bottom